Zuchu - Cheche Lyrics Ft Diamond Platnumz | BollywoodTracksLyrics

'Cheche' is the latest Swahili song presented by 'Zuchu' Ft. Diamond Platnumz. The video is shot by Director Kenny and the song is produced by Mocco Genius & Lizer Classic. The song was released at 'Zuchu' official youtube channel on September 15th, 2020.

Song Details:

Song: Cheche (Lyric)
Artist: Zuchu
Album: Cheche (Single)
Featuring: Diamond Platnumz
Video Shot: Director Kenny
Song Producer: Mocco Genius & Lizer Classic
Music Label: Zuchu
Released Date: September 15th, 2020.

Cheche Lyrics:

Iii...arira rarira
Rarari rarari
Iyaa, iyaa iyaa eey
Tiaria, rari rari eey...
(Mocco)
Te amor Te amor
Le te quero, quero
Yaliyomo yamo
Hujazoa penzi kwa beru...

Mwenzako migulo chengele
Wanalia ugoya wa nje bwerere
Sema upendacho utakula jegele
Kinyama kulumagia kam nkuchumie tembele...

Na bila huruma unanijuza
Kwamba unayabaruza
Mi mtoto unanikuza
Wee aah...

Unanichezesha kwaito
Kwa koro waito
You dey give me banana
Your love is stamana...

Unachezesha kwaito
Kwa koro waito
My baby twachezeshana...

Che! Che! cheche rumba che! che!
Hey tunashikana shikana
Che! Che! cheche rumba che! che!
Tunachezeshana...

Che che che rhumba che

Che! che! cheche rumba che! che!
Zinatoka che! che! tukigusana gusana
Che! che! cheche rumba che! che!

Eeeh unapendaga chocolate (Enhe)
Mavanilla nilla (Enhe)
Tam tam sweety ety (Enhe)
Nikichenga ka roja Mila (Enhe)...

Brrr Okey! 
Penzi koleza uje wa Dubai
Huba lipambe moto 
Kama mafuta kwa karai...

Okey na ulivyo katoto lito to!
Leo mpaka kokoriko ko!
Ghetto ni kulamba mwiko ko!
Sakafu hadi kwata niko ko!

Korikoko mama utaniua, nikomeshe!
Ya leo kiboko, nikomeshe!
Imezidi utamu, nikomeshe!
She! She! She! Komeshe!

Asa kukuacha wewe (Nitawezaja?)
Niende kwa mwengine (Nitawezaja?)
Ujeuri sina
jinsi twachezeshana...

Che! Che! cheche rumba che! che!
Hey tunashikana shikana
Che! Che! cheche rumba che! che!
Tunachezeshana...

Che che che rhumba che
Che! Che! cheche rumba che! che!
Zinatoka che che tukigusana gusana
Che! Che! cheche rumba che! che!

Na kakara zako kinkiri
Kinkiri kanka! 
Kinkiri kankara kinkiri
Zanimalizaga...

Eeh na kakara zako kinkiri
Kinkiri kanka! 
Venye unavyo kinkiri
Kinkiri kan kinki
Kinkiri kanka
Ki! Ka! kirinkaka!

Unanichezesha kwaito
Kwa koro waito
You dey give me banana

Your love is stamana...

Unanichezesha kwaito
Kwa koro waito
My baby twachezeshana...


Written by: Gaurav [BOLLYWOOD TRACKS LYRICS]                                             

If Found Any Mistake in Lyrics, Please Report In Contact Section with Correct Lyrics...

Post a Comment